HONGERA DAVIDO KWAKUPATA MTOTO

HONGERA DAVIDO KWAKUPATA MTOTO

Like
236
0
Tuesday, 19 May 2015
Local News

Star wa muziki kutokea Nigerian Davido amebahatika kumpokea mtoto wa kike baada ya mpenzi wake Sophie Momodu kujifungua mtoto wa kike siku kadhaa zilizopita

Idadi ya mastar wa Afrika wanaotarajia kupata watoto inazidi kuongezeka ambapo mbali na Diamond kutoka Tanzania, Tiwa Savage kutokea Nigeria pia amefanya baby shower ikiwa ni maandalizi ya kumpoea mtoto wake Sherehe hiyo ilihudhuriwa na marafiki wa karibu wa msanii huyo akiwemo Elohor Aisien  ambae baadae alishea taarifa hizo kwenye ukurasa wake wa instagram na kuweka wazi kwamba star huyo anarajia kupata mtoto wa kiume….

Comments are closed.