HUMAN RIGHT WATCH LAWALAUMU WAPIGANAJI WA KIKURDI

HUMAN RIGHT WATCH LAWALAUMU WAPIGANAJI WA KIKURDI

Like
217
0
Tuesday, 13 October 2015
Global News

SHIRIKA la kibinadamu la Human Rights Watch limewalaumu wapiganaji wa kikurdi kutoka kaskazini mashariki Mashariki mwa Syria kwa kufanya kampeni ya makusudi kuwatimua katika makazi yao watu wenye asili ya Kiarabu kutoka maeneo ambayo wameyakomboa.

Taarifa zinaeleza kuwa tatizo hilo linalingana na lililotokea awali katika eneo la Kaskazini mwa Iraq, ambapo Wakurdi wa Syria waliojitokeza kama wafuasi waaminifu zaidi kwa muungano wa wanajeshi wanaoongozwa na Marekani na kushambulia eneo hilo.

Hata hivyo imebainika kuwa Wamarekani waliwasaidia wakurdi hao kulipua makombora katika eneo la Kombani mwishoni mwa wiki iliyopita.

Comments are closed.