HUU NDIO UTEUZI MPYA ULIOFANYWA NA RAIS MAGUFULI

HUU NDIO UTEUZI MPYA ULIOFANYWA NA RAIS MAGUFULI

Like
257
0
Monday, 30 May 2016
Local News

RAIS wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dokta John Pombe Magufuli amemteua Jaji shabani Ally Lila, kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani ambaye kabla ya uteuzi huu alikuwa Jaji Kiongozi.

 

Wakati huo huo rais Magufuli amemteua Mheshimiwa Anne Semamba Makinda kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya mfuko wa Bima ya Afya-NHIF.

 

Uteuzi wa Mheshimiwa Makinda ambaye ni spika mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, umeanza Mei 25 mwaka huu.                                    

Comments are closed.