ICC: HATMA YA RUTO KUFAHAMIKA LEO

ICC: HATMA YA RUTO KUFAHAMIKA LEO

Like
295
0
Friday, 12 February 2016
Global News

MAHAKAMA ya jinai ya kimataifa -ICC leo inatarajiwa kutoa uamuzi ambao huenda ukakuwa na athari kwa kesi inayomkabili naibu rais wa Kenya William Ruto.

Bwana Ruto na mushtakiwa mwenzake, mwana Habari, Joshua Arap Sang wameshitakiwa kwa makosa ya uhalifu dhidi ya binadamu kuhusiana na ghasia zilizotokea nchini Kenya baada ya uchaguzi mkuu wa 2007.

Mashtaka kama hayo yaliyomkabili rais Uhuru Kenyatta yalifutiliwa mbali na mwendesha mkuu wa mashataka ya ICC, Fatou Bensouda kwa ukosefu wa ushahidi.

Comments are closed.