ICC YAKUBALI OMBI LA KENYA

ICC YAKUBALI OMBI LA KENYA

Like
153
0
Friday, 27 November 2015
Global News

KAMATI maalum ya muungano wa nchi zilizotia saini mkataba wa Roma wa kuanzishwa kwa Mahakama ya Uhalifu ya Kimataifa ya ICC, yenye wanachama 18 imelikubali ombi la Kenya la kukiondoa kifungu cha sheria ya 68 ya mahakama hiyo katika kesi inayomkabili Makamu wa rais wa nchi hiyo, William Ruto.

 

Hayo yamefikiwa baada ya hapo jana Kenya kusema iko tayari kujiondoa katika Mahakama ya ICC, iwapo haitapata hakikisho kuhusu namna kesi dhidi ya Ruto itakavyoendeshwa.

 

 

Comments are closed.