Idadi ya vijana wanaokunywa pombe imeshuka kwa kiwango kikubwa

Idadi ya vijana wanaokunywa pombe imeshuka kwa kiwango kikubwa

Like
552
0
Wednesday, 10 October 2018
Global News

 

Idadi ya vijana wasiozidi umri miaka 25 wanaokunywa pombe imeshuka kwa kiwango kikubwa mno katika kipindi cha miaka 10 iliyopita.
Utafiti uliojumuisha vijana 10,000 nchini Uingereza na kuchapishwa katika jarida la kiafya la BMC Public Health, umebaini kuwa Idadi ya vijana wa kati ya miaka 16 – 24 wasiobugia mvinyo 🍻🍻imeongezeka kutoka asilimia 18% mwaka 2005 hadi 29% mwaka 2015.
Utafiti huu unathibitisha ushahidi wa awali kuwa idadi ya watu wanaojiburudisha kwa pombe🥂🥂 inapungua kwa kasi nchini Uingereza.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *