IDADI YA WAKIMBIZI WANAOINGIA ULAYA YAPUNGUA

IDADI YA WAKIMBIZI WANAOINGIA ULAYA YAPUNGUA

Like
251
0
Wednesday, 02 December 2015
Global News

Kwa mujibu wa Umoja wa Mataifa idadi ya wakimbizi wanaoingia Ulaya kupitia bahari ya Mediterenia imepungua kwa mara ya kwanza mwezi wa Novemba ikilinganishwa na mwezi mmoja kabla.

 

Inakadiriwa kuwa wakimbizi laki moja na elfu 40 wameingia Ulaya mwezi uliopita wakipitia baharini.

 

Habari hizo zimetangazwa na shirika la Umoja wa mataifa linalowahudumia wakimbizi UNHCR mjini geneva jana.

 

Comments are closed.