IDADI YA WALIOFARIKI GHANA YAFIKIA 175

IDADI YA WALIOFARIKI GHANA YAFIKIA 175

Like
236
0
Friday, 05 June 2015
Global News

TAKRIBAN watu 175 wamefariki kufiakia sasa kufuatia moto uliotokea katika kituo kimoja cha mafuta mji mkuu wa Ghana –Accra.

Moto huo uliozuka siku ya jumatano usiku ulianza wakati wakazi wa mji huo walipokuwa wakikabiliana na siku mbili za mvua kubwa ambayo imewaacha raia wengi bila makazi.

Taarifa zinasema kuwa mafuriko huenda yalisababisha moto ambao ulitokea jana wakati mamia ya watu walipokuwa wamejihifadhi katika kituo hicho cha mafuta kutokana na mvua kubwa zinazonyesha.

Comments are closed.