IDADI YA WATU WALIOFARIKI KWA AJALI YA NDEGE HUKO MEDAN YAONGEZEKA

IDADI YA WATU WALIOFARIKI KWA AJALI YA NDEGE HUKO MEDAN YAONGEZEKA

Like
259
0
Wednesday, 01 July 2015
Global News

INDONESIA imasema kuwa idadi ya watu waliofariki huko Medan katika ajali ya ndege ya kijeshi imepanda na kufikia watu 141. Kwa mujibu wa taarifa ya jeshi la wana anga nchini humo hakuna yeyote aliyenusurika kifo miongoni mwa watu 122 waliokuwa ndani ya ndege hiyo ya mizigo. Jeshi limesema kuwa limeanzisha uchunguzi kubaini haswa ni akinani waliokuwa ndani ya ndege hiyo ya kijeshi baada ya uvumi kuenea kuwa ndege hiyo ilikuwa imewabeba abiria waliokuwa wamelipa nauli.

150701074138_indonesia_2_640x360_bbc_nocredit

 

 

 

150630215852_medan_640x360_reuters_nocredit

Comments are closed.