Mbali na drama za rapa huyu wa kike Iggy Azalea mwenye asili ya Australia bado ana kila sababu ya kutabasamu kufuatia headlines za mafanikio anazoziweka kwenye tasnia ya burudani.
Hivi karibuni Iggy azale na mpenzi wake Nick Young wamepitishwa kutumika kwenye picha ya tangazo la kampeni ya Forever 21‘s holiday .
Akiongea na watu mara baada ya kupiga picha hizo Nick Young ambae ni mchezaji wa mpira wa kikapu katika ligi ya Nba huko marekani ameelezea furaha yake kupiga picha hizo na mpenzi wake, kwa upande wake Iggy pia alizungumzia kwa upande wake.