IMEELEZWA KUWA, Imani Potofu dhidi ya Chanjo za Surua na Rubella zinazoendelea kutolewa kote nchini, zimekuwa kikwazo katika kufanikisha kampeni hiyo yenye lengo la kupunguza ongezeko la magonjwa ya milipuko kwa watoto wenye umri wa kuanzia miezi tisa hadi miaka 15.
Hayo yamesemwa na mkuu wa wilaya ya Ilala RAYMOND MUSHI wakati wa uzinduzi wa chanjo ya Surua na Rubella…
Naye Mgeni rasmi katika uzinduzi huo, bwana REGINALD MENGI amesema hilo.
Kwa upande wake mratibu wa chanjo mkoa wa Dar es salaam ZUHURA MKWIZU anafafanua juu ya mikakati ya serikali katika kuhakikisha zoezi linafanikiwa maeneo mbalimbali nchini.