INDIA YATOA NAFASI YA MASOMO YA HABARI NA TEKNOLOJIA KWA WANAFUNZI WA TANZANIA

INDIA YATOA NAFASI YA MASOMO YA HABARI NA TEKNOLOJIA KWA WANAFUNZI WA TANZANIA

Like
295
0
Wednesday, 05 August 2015
Local News

IMEELEZWA kuwa Kutokana na ushirikiano uliopo katika sekta ya Elimu kati ya Tanzania na India wanafunzi wanaosoma masomo ya Teknolojia ya habari, mawasiliano na Maendeleo wamepewa nafasi ya kujiendeleza zaidi katika Ngazi ya shahada ya Udhamivu katika chuo cha Avinashillingam University nchini India.

Akizungumza na waandishi wa Habari katika mahafali ya 9 ya chuo cha usimamizi wa fedha IFM jijini Dar es salaam, Mkuu wa chuo hicho Profesa GODWIN MJEMA amesema kuwa  nafasi hiyo itawasaidia wanafunzi wa Tanzania kuweza kujiendeleza zaidi kwenye maswala mbalimbali ya habari na Teknolojia.

Amebainisha kuwa kwa mwaka huu wanafunzi walio hitimu katika shahada ya udhamili chuoni hapo ni 30.

Comments are closed.