INTER MILAN YATANGAZA DAU KUMNYAKA YAYA TOURE

INTER MILAN YATANGAZA DAU KUMNYAKA YAYA TOURE

Like
197
0
Wednesday, 20 May 2015
Local News

Klabu ya soka ya Inter Milan imetangaza kumuwania kiungo wa Manchester United Yaya Toure kwa kitita cha pound milioni 15 katika kipindi cha miaka mitatu.

Inter imepanga kumpatia kiungo huyo pound milioni 4.3 baada ya makato ya kodi katika mshahara.

Toure mwenye miaka 31 anatarajiwa kuthibitisha mpango wake wa kuondoka kwenye klabu ya Manchester City mapema wiki ijayo kwenye tamati ya msimu wa ligi

Klabu ya Manchester City kwa upande wake imesisitiza kuwa haitasukumwa na uhamisho badala yake inampango wa kuleta wachezaji vijana kwenye msimu ujao kwakumuwinda kiungo wa Juventus Paul Pogba na Kevin de Bruyne wa Wolfsburg

Comments are closed.