IRAN YAAFIKI KUPUNGUZA KURUTUBISHA NYUKLIA

IRAN YAAFIKI KUPUNGUZA KURUTUBISHA NYUKLIA

Like
241
0
Friday, 03 April 2015
Global News

MAKUBALIANO kuhusu muundo wa baadaye wa mpango wa nyuklia wa Iran, yamefikiwa baada ya mazungumzo na mataifa Sita makubwa yaliyokuwa yakifanyika nchini Uswisi.

Kwa mujibu wa mkataba huo, Iran itapunguza uwezo wake wa kurutubisha madini ya Urani huku ikiahidiwa kuondolewa vikwazo kwa awamu.

Mataifa makubwa ya Dunia na Iran sasa yanalenga kuandika mkataba kabambe ifikapo Juni 30.

 

Comments are closed.