IRAQ: NDEGE ZA KIJESHI ZA MAREKANI ZIMEANZA KUTEKELEZA MASHAMBULIZI TIKRIT

IRAQ: NDEGE ZA KIJESHI ZA MAREKANI ZIMEANZA KUTEKELEZA MASHAMBULIZI TIKRIT

Like
343
0
Thursday, 26 March 2015
Global News

NDEGE za kijeshi za Marekani zimeanza kutekeleza mashambulizi makali, katika maeneo yenye wanamgambo wa Islamic State, katika mji wa Tikrit uliotekwa na waasi hao.

Vifaru vya jeshi la Iraq pia vimerejesha mashambulizi makali ya ardhini katika mji huo.

Kiongozi mmoja mkuu wa Marekani, anasema kwamba mashambulizi ya angani kwa maeneo yanayolengwa, yanafuatia ruhusa kutoka kwa serikali ya Iraq.

Comments are closed.