IRAQ YASEMA HAISAIDIWI KWENYE VITA DHIDI YA IS

IRAQ YASEMA HAISAIDIWI KWENYE VITA DHIDI YA IS

Like
240
0
Tuesday, 02 June 2015
Global News

WAZIRI mkuu wa Iraq  HAIDER AL-ABADI amesema kuna ushahidi mdogo  wa kuwepo kwa uungwaji mkono wa kimataifa katika vita vyao dhidi ya wapiganaji wa Islamic State katika nchi yake.

Matamshi hayo ya  ABADI yanakuja wakati wa kikao kinachotarajiwa kufanyika huko Ufaransa cha mataifa walioungana kulipiga vita kundi hilo la wapiganaji la Islamic state.

Aidha Waziri HAIDER AL-ABADI  ameonya kuwa kinyume na matarajio wanamgambo hao wa kundi la IS wanaendelea kuwasajili watu wengi ili kujiunga nao.

Comments are closed.