IRAQ YATANGAZA VITA KUKOMBOA FALLUJAH

IRAQ YATANGAZA VITA KUKOMBOA FALLUJAH

Like
307
0
Monday, 23 May 2016
Global News

WAZIRI Mkuu wa Iraq Haider al-Abadi ametangaza operesheni kubwa ya kijeshi ya kuukomboa mji wa Fallujah kutoka kwa wapiganaji wa Islamic State.

Kundi hilo liliuteka mji huo miaka miwili iliyopita.

Akiwa ameandamana na maafisa wakuu wa jeshi, Bwana al-Abadi ametoa tangazo hilo moja kwa moja kupitia televisheni na kusema bendera ya Iraq karibuni itapepea katika mji huo ambao upo takjriban kilomita 50 magharibi mwa mji wa Baghdad.

Comments are closed.