IRINGA: MWAKALEBELA AAHIDI KUTENGA OFISI KUSIKILIZA MATATIZO YA WATU WENYE ULEMAVU AKIPEWA RIDHAA

IRINGA: MWAKALEBELA AAHIDI KUTENGA OFISI KUSIKILIZA MATATIZO YA WATU WENYE ULEMAVU AKIPEWA RIDHAA

Like
240
0
Wednesday, 21 October 2015
Local News

MGOMBEA ubunge Jimbo la Iringa mjini kupitia chama cha mapinduzi-CCM Fredrick Mwakalebela amesema endapo akipata ridhaa ya kuongoza Jimbo hilo atahakikisha anatenga ofisi maalamu kwa ajili ya kusikiliza matatizo ya watu wenye ulemavu.

 

Akizungumza katika kikao na chama cha walemavu mkoa wa Iringa Mwakalebela amesema kuwa atahakikisha kundi hilo maalumu linapewa kipaumbele katika sekta mbalimbali ikiwemo  Afya na Elimu.

Comments are closed.