IRINGA: VIONGOZI WA VYAMA VYA USHIRIKA VYA ZAO LA TUMBAKU WASIMAMISHWA

IRINGA: VIONGOZI WA VYAMA VYA USHIRIKA VYA ZAO LA TUMBAKU WASIMAMISHWA

Like
416
0
Thursday, 07 January 2016
Local News

WAZIRI wa kilimo,mifugo na uvuvi mheshimiwa Mwigulu Nchemba amewasimamisha viongozi wa vyama vya ushirika vya zao la tumbaku mkoani Iringa.

Akizungumza kwenye mkutano uliofanyika katika ukumbi wa siasa na kilimo, Mheshimiwa Mwigulu amemuagiza mrajisi wa mkoa kuivunja bodi hiyo na kuwachunguza viongozi wa vyama hivyo.

Aidha, ameiomba serikali ya mkoa kufuatilia na kutathimini ubadhirifu uliofanywa na viongozi hao na kuwachukulia hatua ili kukomesha vitendo hivyo.

Comments are closed.