IS WAFANYA SHAMBULIZI MISRI

IS WAFANYA SHAMBULIZI MISRI

Like
236
0
Thursday, 20 August 2015
Global News

BOMU kubwa limelipuka karibu na makao makuu ya usalama kaskazini mwa mji mkuu wa Misri, Cairo ambako watu 29 walijeruhiwa akiwemo maafisa sita wa polisi.

Eneo hilo kwa sasa limefungwa na kuna maafisa wengi wa polisi katika barabara za mji huo.

Kundi la wapiganaji wa Islamic State limekiri kutekeleza shambulizi hilo.

Comments are closed.