IS WALIPUA MADHABAHU SYRIA

IS WALIPUA MADHABAHU SYRIA

Like
239
0
Monday, 31 August 2015
Global News

WAPIGANAJI wa dola ya kiislamu IS, wanadaiwa kulipua sehemu ya madhabahu ya kidini katika mji wa Syria wa Palmyra.

Kundi la kutetea haki za binadamu nchini Syria limesema kuwa wanamgambo hao wametumia mabomu kulipua hekalu hilo la kiroma ya Bel.

Islamic State waliuteka mji wa Palmyra mwezi Mei na kuzua hofu ya kushambuliwa madhabahu hayo.

 

Comments are closed.