IS YATHIBITISHA KUHUSIKA NA MASHAMBULIZI KATIKA MIJI YA DAMASCUS NA HOMS

IS YATHIBITISHA KUHUSIKA NA MASHAMBULIZI KATIKA MIJI YA DAMASCUS NA HOMS

Like
254
0
Monday, 22 February 2016
Global News

KUNDI la kislamu la Islamic State limesema kuwa limetekeleza mashambulizi katika mji mkuu wa Syria Damascus na mji wa Homs, na kusababisha vifo vya watu 140.

Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa kwa vyombo vya Habari zimeeleza kwamba Mapema huko Homs watu 57, wengi wao raia wa kawaida wameuawa katika mashambulizi mawili ya magari.

 

Mashambulizi hayo mawili yamelenga maeneo yaliyozingirwa na waislamu wachache, kama ilivyoelezwa na kundi la waislamu la Sunni la IS.

Comments are closed.