ISRAEL: CHAMA CHA NETANTAHU CHASHINDA UCHAGUZI MKUU

ISRAEL: CHAMA CHA NETANTAHU CHASHINDA UCHAGUZI MKUU

Like
261
0
Wednesday, 18 March 2015
Global News

CHAMA cha Likud cha Waziri Mkuu BENJAMIN NETANYAHU kimepata ushindi wa kushangaza katika uchaguzi mkuu wa Israel.

Matokeo ya awali yameonyesha kuwa  Chama cha Mrengo wa kushoto cha Zionist Union kupata Mshtuko.

Kura nyingi zikiwa zimehesabiwa, Likud kinaonekana kupata Viti 29 katika Bunge lenye viti 120, huku chama cha Zionist Union kikiwa na Viti 24.

 

 

Comments are closed.