ITALIA: MAELFU YA WAKAAZI WALALA NJE KUFUATIA KIMBUNGA KIKALI

ITALIA: MAELFU YA WAKAAZI WALALA NJE KUFUATIA KIMBUNGA KIKALI

Like
258
0
Monday, 31 October 2016
Slider

Maelfu ya watu katikati mwa Italia wamelala katika magari na mahema ikiwa ni kama makazi ya muda mfupi baada ya kimbunga kikali kupiga katika eneo hilo tokea kile cha mwezi Agosti.

Wakaazi katika eneo lililoathirika zaidi la Norcia wamesema walikuwa na hofu sana kuendelea kukaa ndani mwa nyumba zao.

_92157884_036141942-2

Takriban watu 20 wamejeruhiwa na kimbunga hicho kilichotokea siku ya Jumapili, lakini inasemekana mtu mmoja amepoteza maisha.

Mkuu wa eneo hilo Luca Ceriscioli amesema zaidi ya watu laki moja watahitaji msaada.

Comments are closed.