IVORY COAST: OUATTARA AKUBALI KUJIUZULU KWA WAZIRI MKUU

IVORY COAST: OUATTARA AKUBALI KUJIUZULU KWA WAZIRI MKUU

Like
784
0
Thursday, 07 January 2016
Global News

RAIS Alassane Ouattara wa Ivory Coast amekubali kujiuzulu kwa Waziri Mkuu na Serikali yake.

 

Akituma ujumbe kupitia mtandao wa Twitter, Outtarra amesema waziri mkuu aliwasilisha hati ya kujiuzulu na ile ya serikali naye akairidhia.

 

Ouattara, mwanauchumi mwenye umri wa miaka 74, aliyewahi kulitumikia shirika la fedha la kimataifa na  amechaguliwa kwa muhula wa pili wa miaka mitano kama rais, mwezi Oktoba mwaka jana.

Comments are closed.