JACOB ZUMA ASHAURI KUAHIRISHWA KWA UCHAGUZI BURUNDI

JACOB ZUMA ASHAURI KUAHIRISHWA KWA UCHAGUZI BURUNDI

Like
181
0
Tuesday, 19 May 2015
Global News

Rais  wa  Afrika  kusini JACOB ZUMA  amesema  uchaguzi  wa rais uliopangwa  kufanyika  Burundi  mwezi  ujao  unapaswa  kuahirishwa hadi  Amani itakaporejea nchini humo.

Rais ZUMA  ameyasema  hayo  wakati  akitoa muhtasari wa  matokeo ya mkutano  wa  eneo  la  kusini  mwa  Afrika  uliofanyika  nchini Angola.

Mkutano  huo  maalum  uliitishwa  baada  ya  jaribio  la  mapinduzi kushindwa  nchini  Burundi  dhidi  ya  rais Pierre Nkurunziza , ambaye uamuzi  wake  wa  kugombea  kipindi  cha  tatu  cha  uongozi umezusha  maandamano  mitaani kwa  wiki  kadhaa.

Comments are closed.