JAMII IMETAKIWA KUACHANA NA DHANA POTOFU KWENYE MASUALA YA AFYA ZA WATOTO

JAMII IMETAKIWA KUACHANA NA DHANA POTOFU KWENYE MASUALA YA AFYA ZA WATOTO

Like
587
0
Wednesday, 15 October 2014
Local News

JAMII imetakiwa kuachana na dhana potofu ya kuwakata watoto Kimeo na badala yake wawapeleke hospital kuangalia afya zao.

Hayo yamebainishwa na DR SALEHE NGOLE wakati akizungumza na E Fm jijini Dar es salaam na kusema kuwa ukataji wa kimeo kwa njia ya kienyeji ni kinyume kiafya hivyo kunaweza kumsababishia mgonjwa, madhara na badala yake wawapeleke hospital kwaajili ya matibabu zaidi

JAMII-IKIWA-HOSPITAL-KLINIKI

 

 

Comments are closed.