JAMII YAOMBWA KUWA NA MAZOEA YA KUPIMA AFYA

JAMII YAOMBWA KUWA NA MAZOEA YA KUPIMA AFYA

Like
264
0
Thursday, 02 July 2015
Local News

JAMII imeombwa kuwa na mazoea ya kupima afya zao mara kwa mara  hususani kwa Watoto ilikuweza kutambua matatizo au magonjwa ya moyo mapema kwakuwa idadi inonesha katika watoto milioni moja na laki saba waliozaliwa mwaka 2014 asilimia 1 mpaka 2 ya watoto hao sawa na watotoelf 13 na mia 6 wanamagonjwa ya moyo mbalimbali.

Hayo yamesemwa leo jijini Dar es salaam wakati wakutiliana saini mkataba wa makubaliano maalum kati ya Hospitali ya Taifa Muhimbili na Taasisi binafsi ya misaada ya kibinadamu ya save a child heart kutoka Israel ya kuleta madaktari wa upasuaji wa moyo kwa watoto na wauguzi watakaosaidia shughuli za kada zote za taasisi ya moyo.

Comments are closed.