JAMII YASHAURIWA KUTEMBELEA WATOTO YATIMA NA WAISHIO KWENYE MAZINGIRA MAGUMU

JAMII YASHAURIWA KUTEMBELEA WATOTO YATIMA NA WAISHIO KWENYE MAZINGIRA MAGUMU

Like
517
0
Monday, 05 January 2015
Local News

JAMII IMESHAURIWA kuwa na utaratibu wa kwenda kuwatembelea watoto Yatima na waishio katika Mazingira hatarishi ili kusaidia matatizo mbalimbali wanayakabiliana nayo

Wito huo umetolewa na Mjasiriamali wa kujitegemea AGUSTA MASAKI alipokuwa akitoa msaada wa vitu mbalimbali katika kituo cha kulelea watoto waishio katika mazingira magumu Cha Diana Centre kilichopo Gongo la Mboto.

Comments are closed.