JAMII YATAKIWA KUITAMBUA TASAF KUWA NI CHOMBO CHA SERIKALI

JAMII YATAKIWA KUITAMBUA TASAF KUWA NI CHOMBO CHA SERIKALI

Like
194
0
Wednesday, 15 April 2015
Local News

MKURUGENZI Mkuu wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii-TASAF,LADISLAUS MWAMANGA,ameitaka jamii kuelewa kuwa, chombo hicho ni cha Serikali na hakina mwingiliano wa Dini,wala itikadi yoyote ya Kisiasa.

Amesema lengo la TASAF ni kuonyesha uwajibikaji na kuwezesha Wananchi wote kuwa na maisha bora.

MWAMANGA ameeleza hayo alipokuwa akizindua kikao kilichojumuisha Waandishi wa Habari,Waratibu,Wahasibu na Maofisa wanaofuatilia shughuli za mfuko huo.

Comments are closed.