JAMII YATAKIWA KUSHIRIKIANA NA POLISI KUWAFICHUA WAHALIFU

JAMII YATAKIWA KUSHIRIKIANA NA POLISI KUWAFICHUA WAHALIFU

Like
278
0
Monday, 19 January 2015
Local News

WANANCHI wameombwa kusaidiana na Jeshi la Polisi kutoa taarifa haraka pindi wanapoona tukio la uhalifu au kuona umiliki wa silaha kinyume na sheria ili kuweza kulinda amani na ulinzi wa Taifa .

Wito huo umetolewa leo jijini Dar es Salaam na Mkuu wa Wilaya ya Temeke SOPHIA MJEMA  kwenye sherehe ya utoaji sifa na  zawadi kwa Maafisa, Wakaguzi na Askari wa vyeo mbalimbali.

MJEMA amefafanua kuwa  ni muhimu wananchi kushirikiana na Polisi ili kuweza kupunguza matukio ya uhalifu na kuongeza usalama kwa Taifa.

Comments are closed.