JAMII YATAKIWA KUWALINDA WATOTO NA KUTOA TAARIFA ZA UKATILI WANAOFANYIWA

JAMII YATAKIWA KUWALINDA WATOTO NA KUTOA TAARIFA ZA UKATILI WANAOFANYIWA

Like
260
0
Tuesday, 21 April 2015
Local News

JAMII  nchini imetakiwa kujielekeza  katika suala la ulinzi na usalama kwa watoto, kwa kutoa taarifa za Ukatili wanaofanyiwa.

Hayo yamesemwa jijini Dar es Salaam  na  Afisa Ustawi wa jamii Kitengo cha familia Emma Komba wakati alipokuwa akizungumza  na kituo hiki .

Amesema kuwa tatizo kubwa kwa sasa  jamii imekuwa waoga kutoa taarifa za ukatili zinazowakabili watoto hasa ukatili wa kingono kwa watoto  katika ngazi  ya familia.

Comments are closed.