JE NINI KIMEBADILIKA WAKATI HUU HADI WASANI KUFUNGIWA NYIMBO ZAO: NIKKI WA PILI LADHANI

JE NINI KIMEBADILIKA WAKATI HUU HADI WASANI KUFUNGIWA NYIMBO ZAO: NIKKI WA PILI LADHANI

Like
464
0
Wednesday, 21 March 2018
Entertanment
  • Tukirudi miaka 5 nyuma na kuendelea hakukua na kufungiwa sana kwa nyimbo za Bongofleva. Je nini hasa kimebadilika wakati huu.. Ladhani leo tutakuwa na Inspector Haroin Babu na  Nikki wa Pili  kuliangalia hili na mengineyo Saa 9 kamili hadi saa 10 jioni #Efmtanzania

Comments are closed.