JESHI LA KENYA LAFANYA MASHAMBULIZI KWENYE KAMBI YA AL SHABAB

JESHI LA KENYA LAFANYA MASHAMBULIZI KWENYE KAMBI YA AL SHABAB

Like
402
0
Monday, 24 November 2014
Global News

WANAJESHI nchini Kenya wamewashambulia na kuwaua zaidi ya wanamgambo 100 wa Al Shabaab na kuharibu Kambi yao nchini Somalia.

Mashambulizi hayo yamekuja baada ya Wapiganaji wa kundi hilo kuvamia basi moja lililokuwa likisafiri kwenda Nairobi kutoka Mandera na kuwaua abiria 28 kati ya 60 waliokuwemo.

Naibu Rais WILLIAM RUTO amesema kuwa majeshi ya Kenya yamefanya operesheni mbili ambazo zimefanikiwa ambapo mbali na vifo hivyo, pia magari Manne yaliyokuwa na silaha yameharibiwa na kambi yao kuteketezwa.

 

Comments are closed.