JESHI LA POLISI LAKAMATA WATUMIWA 95 KATIKA KIPINDI CHA SIKUKUU YA KRISMAS

JESHI LA POLISI LAKAMATA WATUMIWA 95 KATIKA KIPINDI CHA SIKUKUU YA KRISMAS

Like
324
0
Wednesday, 31 December 2014
Local News

JESHI POLISI Kanda Maalum jijini Dar es Slaam limefanikiwa kuwakamata Watuhumiwa 95 wanaotuhumiwa kwa Makosa mbalimbali yakiwamo ya Uhalifu wa kutumia silaha.

Kamshina wa Polisi Kanda hiyo SULEIMAN KOVA amesema watuhumiwa wote wamekamatwa katika kipindi cha Sikukuu ya Krismas kufuatia Oparesheni iliyofanywa na jeshi hilo.

Amebainisha kuwa mwaka 2014 unaisha vizuri kwa wakazi wa jiji kusherekea vyema Sikukuu za mwisho wa mwaka bila uvunjifu wa Amani.

Comments are closed.