JESHI LA ZIMAMOTO LATOA MISAADA KATIKA KITUO CHA KULELEA WATOTO YATIMA

JESHI LA ZIMAMOTO LATOA MISAADA KATIKA KITUO CHA KULELEA WATOTO YATIMA

Like
441
0
Wednesday, 08 April 2015
Local News

JESHI la Zimamoto na Uokoaji mkoani Iringa,limetoa misaada mbalimbali kwa Kituo cha kulelea watoto Yatima Cha Sister Theresia, kilichopo Tosamaganga.

Akikabidhi msaada huo,Kamanda wa Jeshi la Zimamoto mkoani humo,KENNEDY KOMBA,amesema lengo la kutoa msaada huo ni kuwa karibu na jamii.

Amesema Watoto Yatima,wanakabiliwa na changamoto nyingi katika kupata  mahita muhimu ikiwemo chakula, Afya na malazi, hivyo ni jukumu la kila mmoja kuwasaidia ili kuondokana na hali ya utegemezi.

 

Comments are closed.