JIBU LA VANESSA MDEE KUHUSU MAHUSIANO YAKE NA JUX

JIBU LA VANESSA MDEE KUHUSU MAHUSIANO YAKE NA JUX

Like
911
0
Wednesday, 19 November 2014
Entertanment

Jibu la Vanessa Mdee kuhusu mahusiano yake na Jux ni kwamba “Tunapendana”

Mapema leo kupitia kipindi Cha Genge ndani ya 93.7efm .

Bagdad alimuuliza vanesa Mdee juu ya taarifa zilizokuwa zikivuma kwamba yupo kwenye Mahusiano na Jux Vanessa alijibu “TUNAPENDANA”

Lakini wakizungumzia kuhusu kufanya wimbo mwingine wa pamoja kati ya Vanessa na Barnaba wamesema kwamba mashabiki wao wasubiri huenda kuna kitu kikafuata mara baada ya project ya Siri.

 

Comments are closed.