JIMBO LA MBAGALA LAKABILIWA NA UKOSEFU WA AJIRA KWA VIJANA

JIMBO LA MBAGALA LAKABILIWA NA UKOSEFU WA AJIRA KWA VIJANA

Like
353
0
Monday, 14 December 2015
Local News

IMEELEZWA kuwa Jimbo la Mbagala linakabiliwa na changamoto mbalimbali ikiwemo suala la ajira kwa vijana pamoja na elimu  ya ujasiliamali .

Mbunge wa Mbagala Issa Ali Mangungu kupitia chama cha mapinduzi -ccm- ameyasema hayo  leo jijini Dar es Salaam wakati alipokuwa akizungumza katika mahafali ya kituo cha elimu na mafunzo  ya afya –KEWOVAC-

Amesema kuwa wilaya nzima ya Temeke kuna chuo kimoja tu cha ufundi hali inayosababisha vijana wengi kushindwa kupata ujuzi ambao utawakwamua kiuchumi na badala yake huishia vijiweni.

Comments are closed.