JK AKANUSHA KUPIGA MARUFUKU MFUMO WA BVR

JK AKANUSHA KUPIGA MARUFUKU MFUMO WA BVR

Like
274
0
Monday, 12 January 2015
Local News

IKULU imesema Rais JAKAYA KIKWETE, hajapiga marufuku, wala kupinga au kusema vifaa vya kupigia kura kwa kutumia mfumo wa kisasa wa –BVR-, havifai kwa matumizi.

Ikulu imetoa taarifa hiyo, na kufafanua kuwa katika hafla ambayo Rais aliwaandalia Mabalozi wanaowakilisha nchi na Mashirika ya Kimataifa juzi, kuna baadhi ya vyombo vya habari vilipotosha kuhusu suala hilo.

Comments are closed.