JK AKUTANA NA KOFI ANNAN

JK AKUTANA NA KOFI ANNAN

Like
181
0
Thursday, 16 July 2015
Local News

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu Mstaafu wa Umoja wa Mataifa, Kofi Annan.

Katika mkutano huo kwenye Hoteli ya Intercontinental, viongozi hao wawili wamezungumzia masuala mbali mbali ya kimataifa, ikiwamo hali ya Burundi.

Hapo jana Mwenyekiti huyo  wa Jopo la Kimataifa Linalopendekeza Jinsi Dunia inavyoweza kukabiliana na majanga yajayo ya magonjwa ya milipuko, ameongoza vikao vya Jopo hilo ambalo kazi yake imeungwa mkono na nchi 21 ambazo zilichangia mapambano dhidi ya ugonjwa wa Ebola.

Comments are closed.