JK AWATAKA WANANCHI KUIPIGIA KURA YA NDIO KATIBA INAYOPENDEKEZWA

JK AWATAKA WANANCHI KUIPIGIA KURA YA NDIO KATIBA INAYOPENDEKEZWA

Like
235
0
Monday, 30 March 2015
Local News

RAIS JAKAYA KIKWETE amewataka Watanzania kuipigia kura ya ndiyo Katiba Inayopendekezwa, kwa kuwa ni bora kuliko inayotumika sasa.

Pia amewaonya Viongozi wa Dini wanaohamasisha wafuasi wao kuipigia Kura ya Hapana  Katiba, kwa kufanya hivyo wanaingilia Uhuru binafsi wa mtu kuamua mambo yake.

Rais KIKWETE ameeleza hayo katika Mkutano wa Viongozi wa Dini wanaounda Kamati ya Amani kwa Mkoa wa Dar es salaam ambapo mikoa mbalimbali imewakilishwa.

Comments are closed.