JK KUHUDHURIA KILELE CHA MAADHIMISHO YA SIKU YA USALAMA NA USAFI MAHALI PA KAZI

JK KUHUDHURIA KILELE CHA MAADHIMISHO YA SIKU YA USALAMA NA USAFI MAHALI PA KAZI

Like
241
0
Wednesday, 22 April 2015
Local News

RAIS JAKAYA KIKWETE anatarajia kuwa mgeni rasmi katika kilele cha maadhimisho ya siku ya Usalama na Usafi Mahali Pa Kazi,yanayotarajiwa kufanyika Jumanne ijayo mwaka huu, katika Viwanja vya Jamuhuri mkoani Dodoma.

 

Akizungumza jijini Dar es salaam,Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Usafi na Usalama Mahali Pa Kazi-OSHA,ALEX MGATA,amesema maadhimisho hayo yatatanguliwa na maandamano yatakayoanzia viwanja vya Bunge na kuishia Uwanja wa Jamuhuri.

 

Ametaja Kauli Mbiu ya Maadhimisho hayo kuwa ni Jiunge katika Kujenga Utamaduni wa Kinga Mahali Pa Kazi,kauli mbiu hiyo inalenga kuhamasisha jamii kutilia mkazo suala hilo ili kupunguza ajali.

Comments are closed.