JOHN KERRY AINGIA PARIS KUJADILI MAPAMBANO DHIDI YA UGAIDI

JOHN KERRY AINGIA PARIS KUJADILI MAPAMBANO DHIDI YA UGAIDI

Like
268
0
Friday, 16 January 2015
Global News

WAZIRI wa Mambo ya Nchi za nje wa Marekani JOHN KERRY amefanya mazungumzo leo na Waziri mwenzake wa Ufaransa LAURENT FABIUS mjini Paris, kuelezea mshikamano wa nchi yake na watu wa Ufaransa, baada ya shambulio la kigaidi wiki iliopita.

KERRY amemueleza FABIUS kwamba hakuweza kuhudhuria maandamano ya Mshikano Jumapili iliopita kwa sababu ya ziara iliyopangwa tangu awali nchini India.

Comments are closed.