JOHN KERRY ANATARAJIWA KWENDA PARIS KWENYE MAZUNGUMZO JUU YA MAKUNDI YENYE ITIKADI KALI

JOHN KERRY ANATARAJIWA KWENDA PARIS KWENYE MAZUNGUMZO JUU YA MAKUNDI YENYE ITIKADI KALI

Like
363
0
Monday, 12 January 2015
Global News

WAZIRI wa Mambo ya Kigeni wa Marekani JOHN KERRY amesema anatarajia kwenda mjini Paris wiki hii kwa mazungumzo ya kupambana na makundi   yenye itikadi kali yanayotumia nguvu.

Bwana KERRY atakuwa nchini Ufaransa siku ya Alhamis na Ijumaa.

Comments are closed.