JULIAN MARLEY: BANGI KUANZA KUTUMIKA KAMA BIDHAA!!!

JULIAN MARLEY: BANGI KUANZA KUTUMIKA KAMA BIDHAA!!!

Like
333
0
Monday, 17 November 2014
Entertanment

Julian Marley ambae ni mototo wa mfalme wa reggae Bob marley huenda jina lake likadumu kwenye vichwa vya watu miezi kadhaa ijayo mara baada ya kupata deal ya kushirikiana na kampuni ya Drop Leaf kuzindua bidhaa ya Julian Marley JUJU Royal Premium Marijuana kwa mujibu wa mtandao wa www.streetinsider.com huko nchini marekani

 Julian marley alinukuliwa akisema

Ninafuraha na pia naziheshimu juhudi na harakati zinazofanywa na kampuni ya Drope Leaf katika kuufanya huu mmea kuwa na thamani pia upatikane duniani kote bila kipingamizi mara baada ya utafiti kukamilika

Ambapo mmea huo utaanza kutumika kwenye vituo vya afya  na sehem mbalimbali ambazo zimeanza kulegeza sheria inayobana matumizi haramu ya bangi lakini hivi karibuni Jamaica nayo imeingia kwenye orodha hiyo baada ya kupitisha sheria ya kulipa faini mtu anapokamatwa anatumia bangi

 

Comments are closed.