JUMA NATURE ATOA MISAADA KATIKA HOSPITALI YA MBAGALA RANGI TATU

JUMA NATURE ATOA MISAADA KATIKA HOSPITALI YA MBAGALA RANGI TATU

Like
456
0
Thursday, 28 May 2015
Entertanment

MSANII wa Muziki wa Bongo flaver nchini,  Juma Kassim Ally, maarufu Juma Nature leo ameto misaada ya vitu mbalimbali katika Hospitali ya Serikali ya  Mbagala Rangi tatu iliyopo eneo la Zakhiem, mbagala jijini Dar es salaam.

Akizungumza mara baada ya kukabidhi msaada huo , Juma nature amesema lengo, ni kumshukuru Mungu kwa kutimiza miaka kumi na sita tangu aanze kazi hiyo ya Muziki.

Amesema kuwa ameichagua Hospitali hiyo kwakuwa mbali nakuwa ni hospitali iliyopo eneo analoishi lakini pia yeye  amekuwa akipata matibabu mbalimbali kutoka katika Hospitali hiyo  anapougua.

11351138_967161043328250_9162795186253931469_n

11164694_967160926661595_4846023736196942155_n

10665060_967160866661601_4201048158718487444_n

10462698_967161203328234_5836442691107217387_n

Comments are closed.