PICHA: JUSTIN BIEBER AHAMIA KWENYE MJENGO MPYA

PICHA: JUSTIN BIEBER AHAMIA KWENYE MJENGO MPYA

Like
977
0
Friday, 27 February 2015
Entertanment

Justin Bieber ahamia kwenye mjengo mpya wenye hadhi ya kipekee huko Beverly Hills Calfonia

Wadadisi wa mambo huko marekani wanaitaja hatua hiyo ya msanii huyo kuwa ni kama ni sehemu ya kupunguza gharama za maisha kwa kulinganisha kodi ya mwezi aliyokuwa akilipa kwenye kasri ya glass palace ambapo kwa mwezi alikuwa akilipa dola za kimarekani $60,000 ila kwa huu mjengo wa sasa analipia $35,000 kwa mwezi ambayo ni sawa na punguzo la nusu ya gharama kw kulinganisha na kodi ya kwenye nyumba aliyohama

Mjengo huo wa sasa unatakribani vyumba vitano vya kulalia na mabafu sita pamoja na sehemu nyingine ikiwa na vitu anavyovipenda msanii huyo kama michoro ya Graffiti

 

Picha ni sehemu ya nyumba hiyo

26224FCE00000578-2971218-image-a-35_1424997258494 b3 b4 b5 b6

b77

picha nyumba aliyohama

Comments are closed.