JWTZ YAKANUSHA KUWATAKA MAAFISA NA ASKARI KUWASILISHA KADI ZAO ZA KUPIGIA KURA NA KUCHUKUA NAMBA ZA KADI HIZO

JWTZ YAKANUSHA KUWATAKA MAAFISA NA ASKARI KUWASILISHA KADI ZAO ZA KUPIGIA KURA NA KUCHUKUA NAMBA ZA KADI HIZO

Like
398
0
Friday, 14 August 2015
Local News

JESHI  la Ulinzi  la Wananchi wa Tanzania  JWTZ  limekanusha taarifa zinazo sambaa kwenye Mitandao na vyombo vya habari kuhusu Jeshi hilo kuwataka Maafisa na Askari  kuwasilisha   kadi zao za kupiga kura na kuchukua namba za kadi hizo.

Akizungumza na  waandishi wa habari Mkurugenzi wa Habari na Mahusiano kwa Umma wa JWTZ  KANALI NGEMELA LUBINGA amesema kuwa habari hizo ambazo zilisemwa na aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Ubungo  kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA JOHN MNYIKA na kusambaa katika vyombo vya habari sio za kweli na kwamba jeshi la polisi haliwezi kufanya kitendo kama hicho.

JWTZ3

JWTZ2

 

wanahabari wakichukua taarifa

Comments are closed.