baada ya msanii wa muziki wa kizazi kipya Diamond kufanya show akiwa na mavazi yanayosemekana kuwa ni sare ya Jeshi yeye na dancers wake, lakini pia kuonekana kwenye baadhi ya picha akiwa na mavazi hayo huku ameshika siraha na kuvuta sigara
hii ndio kauli kutoka kwa msemaji wa jeshi akisema siruhusa kwa vikundi ama mtu mmoja mmoja kutumia sare hizo, pamoja na said Fella moja ya watu wanaomsimamia Diamond akieleza kuhusu mavazi hayo
kupitia interview ya redio leo kwenye 411 Bagdad alifanya mahojiano na Fella pamoja na Msemaji wa Jeshi, ambapo Fella alisema Diamond alipata kibali cha kutumia mavazi hayo
PICHA CHINI NI RAIA AKIPEWA ADHABU BAADA YA KUKUTWA NA SARE ZA JESHI