K CEE ANUNUA CADILLAC ESCALADE 2014 ILIYOPAMBWA NA DHAHABU

K CEE ANUNUA CADILLAC ESCALADE 2014 ILIYOPAMBWA NA DHAHABU

Like
442
0
Friday, 31 October 2014
Entertanment

Baada ya kuonyesha mjengo wake  alioupa hadhi ya nyota Tano miezi kadhaa nyuma sasa msanii kutoka Nigeria ambae ametambulika zaidi kwenye ramani ya muziki wa Afrika baada ya Kuachia ngoma yake iliyopewa jina maarufu kama Limpopo

K cee ameshea picha za gari lake jipya aina ya Cadillac Escalade 2014 yenye bodi iliyopambwa na dhahabu

K cee alishea picha hizo kupitia Akaunti yake ya Instagram ambapo aliandika Caption ya maneno haya “So far this year God has been so good to me,sold out concerts,successful tours,endorsements e.t.c. So I decided to bless myself with a new Cadillac Escalade. My fans are still my greatest asset , so I’ve decided to give out Scholarship to any level before the year runs out and also another Miss fine face contest with bigger & better Prizes. #ilovemyfans #Kcee #fivestarmusic #ogadinma”

 

Kama sehemu ya kumshukuru Mungu pamoja na Mashabiki wake wanaompatia show mbalimbali, maswali ambayo yamekuwa yakiendelea kwenye mitandao tofauti huko Nigeria ni juu ya wapi gari hilo litakuwa likiendeshwa yani ndani ama nje ya Nigeria

Kcee-Car-600x594 Kcee-Car-2-600x597

Comments are closed.